Tuesday, April 28, 2009

DADA MKUU

raha ni pale unapoamka asubuhi na mawenge na ndoto mbaya kisha unapokewa na sauti tamu ya khanipha adamu a.k.a dada mkuu! usipime mtoto wa kike yuko fiti, mpate kwenye kipindi cha morning talk akiwakilisha.

3 comments:

Anonymous said...

jamani macho hayo,,,,,,,,,,

Anonymous said...

jamani macho hayo,,,,,,,,,,

Anonymous said...

kweli jicho ndugu yangu kumbe umeliona eee