Thursday, May 28, 2009

TWANGA MIAKA 10 ALBUM 10!

mabinti wa twanga pepeta walioapa kuvunja nyonga jukwaani tarehe 5 june kwa mauno ya kufa mtu,
safu ya brothers wa twanga pepeta wakipoz mbele ya camera kwa bashasha,

haya twende sasa, ni miaka 10 ya twanga na album ya 10 ndo hiyo yaja tarehe 5 june pale diamond jubilee patakuwa hapatoshi, mie siti ya mbele kama kawa nikose nchekwe! album yaenda kwa jina la "mwana daresalama" haya tena wadau habari ndo hiyo.


No comments: