Monday, May 4, 2009

TUNAELEKEA HUKU


wanenguaji wa bendi kongwe ya dansi nchini the african stars wana twanga pepeta
wakiwajibika jukwaani huku mashabiki wao wakitokwa udenda kwa shughuli pevu ya mabiniti hawa tishio bongo. hebu cheki kwanza vivazi vyao halafu kama kawa naomba maoni yako.

No comments: