Friday, May 15, 2009

TUZUNGUMZIE MAVAZI

Baraza la sanaa la taifa mwaka jana ilitishia kuzifungia bendi za Akudo impact, Fm academia, na t-respect kwa madai kuwa wanavaa nguo zisizotunza maadili, "nusu uchi" lakini pekepeke za viva zimebaini kuwa watu hupenda kuona viuno vya wadada hao, kazi kwenu wadau nambieni ninyi hupenda nini kwa warembo hawa.

1 comment:

Anonymous said...

Kaka Agape weka mada hii tuchangie,kwanini mademu wte wanenguaji huwa na matumbo makubwa??kwababu hawanywi chai wao ni supu na michemsho tu au??wadau tutachangia sana,asante..