msanii wa kimataifa toka uganda jose chameleone amekataliwa visa ya kuingia nchini marekani, kutoka kwa wadaku wa VIVA jijini kampala chameleone ilikua apafom katika tamasha maalum la uganda north american association(unaa) kuanzia tar 4 hadi 6 septemba, bado haijajulikana sababu za nyota huyo kuminyiwa pasi hiyo. stay tuned viva itakupasha zaidi.Saturday, July 18, 2009
CHAMELEONE ANYIMWA VISA KUINGIA MAREKANI
msanii wa kimataifa toka uganda jose chameleone amekataliwa visa ya kuingia nchini marekani, kutoka kwa wadaku wa VIVA jijini kampala chameleone ilikua apafom katika tamasha maalum la uganda north american association(unaa) kuanzia tar 4 hadi 6 septemba, bado haijajulikana sababu za nyota huyo kuminyiwa pasi hiyo. stay tuned viva itakupasha zaidi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

2 comments:
Bahati mbaya kwa yeye au niseme pole sana. Nasubiri kichoendelea na namwombea mafanikio mema.
Kwanza nashukuru kwa kutembelea jamvi. Pili najua Viva inajua mengi kuhusu huyu jamaa na naomba inijulishe kuhusu ULOKOLE wa Chameleon. Nakumbuka kusoma kuwa aliokoka baada ya vimbwanga kadhaa alivyoviita mikosi aliamua kuokoka kama ambavyo nilisoma hapa (http://issamichuzi.blogspot.com/2009/01/baada-ya-mikosi-mingi-chameleone-aokoka.html).
Nimetegesha kusikia toka kwa wana-Viva Afrika
Post a Comment