
leo ni siku ya kuzaliwa bw, kondo! kwangu ni zaidi ya mfanyakazi mwenzangu, zaidi ya rafiki wa karibu, ni kama ndugu wa damu! nimefanya naye kazi katika taasisi mbili tofauti na sasa tuko ofisi moja twapishana madeski tu! hongera mdau SHABAN KONDO "MAALIM" siku hizi kusherehekea besdei si mchezo, tehe, tehe, tehe, kwa kimatumbi wanasema happy birth day bro!
4 comments:
Duh!! Natumai sijachelewa saana lakini Maisha mema twakutakia na twaamini utaendelea kuwa as mwema as umekuwa.
Blessings
Hakika kubwa ni kumshukuru mweneyzi mungu kila wakati jambo hilo kumbuka.
Na utambue sasa unaendelea kuingia kwenye hatua ya kukabiliana na maisha ipasavyo hivyo jua.
Lakini sitosahaku kukwambia jalali mola wako umshukuru kila linatokea jambo jama kwako ndugu yangu hili ni muhimu sana.
Jingine shukran kwa wazazi wako ambao wamekulea na kukuweka kwenye mazingira ya heshima na kujiheshimu hiyo ni sifa nina kupa ndugu yangu.
Nakutakia kila la kheri katika maisha yako ya kila siku.
[B]NZBsRus.com[/B]
No More Slow Downloads With NZB Files You Can Easily Search Movies, Console Games, MP3 Albums, Applications & Download Them at Alarming Rates
[URL=http://www.nzbsrus.com][B]NZB[/B][/URL]
top [url=http://www.c-online-casino.co.uk/]uk casinos online[/url] hinder the latest [url=http://www.realcazinoz.com/]free casino games[/url] unshackled no store reward at the best [url=http://www.baywatchcasino.com/]baywatchcasino.com
[/url].
Post a Comment