
"sikia muziki wake, alikua mahiri toka kichwa hadi vidoleni"

wakati huo huo mtoto wa mzee tabu ley ambaye ni mwanamuziki wa muziki wa r & b aishiye ubelgiji PEGGY TABU ameamua kuzirudia nyimbo za baba yake katika album atakayooiita PEGGY TABU,
tabu ley rocherau alipata mshtuko wa moyo na tangu wakati huo hali yake haijatengamaa, na bado anapata matibabu nchini ubelgiji katika clinic ya seint michael
No comments:
Post a Comment