
mama lao luiza nyoni mbutu akipozi mbele ya kamera ya VIVA, yeye amedumu bila kuhamahama.

bila shaka mwamkumbuka jesica charls a.k.a mama ian, hapa amepozi na mumewe bwana IAN, du! kapotea kweli dada yetu huyu cjui vipi.

chuma kingine cha twanga, janeth isinika, binti mwenye makeke jukwaani si kitoto, yeye bado anadunda ndani ya bendi hiyo kongwe hapa bongo.
1 comment:
Janeth na Aisha amdinda ni bombaa bombaa katika wote.
Post a Comment