Tuesday, July 21, 2009

WERRASON ULAYA TENA!

tangu kudondoka sokoni kwa album ya thechno malewa dalili zote za werasson kuinyoy matunda zinaonekana kwani mialiko ni kama imekwisha jaza ratiba ya mwaka huu, kama unamtaka aje kutumbuiza fanza fasat. habari kwa hisani ya spoti na starehe.

No comments: