Thursday, September 17, 2009

MJOMBA BAND KUTAMBULISHWA IDD MOSI

mshairi maarufu nchini tanzania mrisho mpoto almaarufu kama mjomba anatarajia kutambulisha bendi yake inayokwenda kwa jina la mjomba band, mshairi huyu aliyejizolea umaarufu mkubwa amesema kuwa siku ya idd mosi,pili na tatu mjomba band itatumbuiza hoteli ya movenpick na baadaye sehemu mbalimbali, kaa mkao wa kula upate utamu wa mjomba.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Nimesikia sifa zake nyingi lakini sijawahi kumwona ningependa khidhuria lakini......:-(

Anonymous said...

bila shaka bend ya mpoto itakuw kal mbaya au mdau unasemaje