Tuesday, September 8, 2009

NANI YUKO NYUMA YAKO?

hatimaye kile kilichotarajiwa na wengi kimefanyika, mkali wa mafiling Congo Ferre gola"jesus" atambulisha ujio rasmi wa album yake ya “ qui est dérrière toi ?” akimaanisha nani yuko nyuma yako ?. Pichani ni kava la utambulisho wa shughuli hiyo.
Ferre golla ametanabaisha kuwa album hiyo itakuwa na nyimbo 14 na inatarajiwa kutambulishwa rasmi tarehe 15 octoba,
Haya sasa wadau wa jamvini ulishawahi kujiuliza nani yuko nyuma yako???

No comments: