Wednesday, October 28, 2009

WATOTO WA KOFFI WAKO SOKONI KWA FUJO!

vijana walioitumikia kwa mafanikio makubwa "Quartier Latin Internationale" ya KOFFI OLOMIDE, soleil wanga, fally ipupa, na ferre gola ambao wote sasa wanafanya kazi kama wasanii wa kujitegemea na tayari album zao ziko sokoni. haya wadau pedeshee ndama, papaa musofe"chuma cha reli", big producer maghambo, abdull tall, bila kumsahau pius mikongoti nipeni data nani mkali hapa.


6 comments:

chib said...

Haya mkuu, tunashukuru kwa taarifa hii. Watu wanesenese sasa

Anonymous said...

duh... kweli maisha yanaanza mbali sana kiukweli hii ni hatua nzuri sana kwa upande wao kutoka kwenye mikono ya mtu mpaka kufanya kazi wenyewe si jambo dogo.

mpango mzima said...

duh... kweli maisha yanaanza mbali sana kiukweli hii ni hatua nzuri sana kwa upande wao kutoka kwenye mikono ya mtu mpaka kufanya kazi wenyewe si jambo dogo.

twenty 4 seven said...

mwanzo nilikuwa nazanimziki wa dansi hauwezi ukafanya ukiwa solo artist ila kupitia hawa jamaa nimeaamini inawezekana,,..

Simon Kitururu said...

Katika hawa mimi nazimia zaidi kazi za Fally

fadhil linga(muzee wa udome) said...

EEEE h bwana mutu ya kongo iko inatisha sana....,,!!!!ila hapa fally ipupa ni mkali ile mbaya.