
ilikua ni kama hadithi na sasa mambo yanamweneda kombo mopao koffi oliomide, jamaa anakabiliwa na mashitaka ya ubakaji na huenda akahukumiwa na mahakama ya ufaransa ambako kesi hiyo inaunguruma. kwa mujibu wa taarifa miaka miwili iliyopita akiwa katika ziara ya kimuziki nchini huko alikua na wacheza show wake wakiwemo mabiti 4 wenye umri kati ya miaka 14 na 17 na kwa mujibu wa sheria hilo ni kinyume cha sheria, koffi anadaiwa kuwafungia wasichana hao ndani chini ya ulinzi mkali na kazi yao ni kumrisha kimapenzi anapowahitaji, haya kama mjuavyo hapa viva hapakauki mambo endelea kuwa nami ntakupa kitakachojiri.
1 comment:
Mmhhhhh!!!!!!!!!!
Kweli Koffi JUNGU KUU maana yeye HAKOSI UKOKO
Tuone atanyofokaje kama shutuma hizi ni za kweli
Asante mwanaAfrika kwa kutujuvya haya
PamoJAH
Post a Comment