Monday, November 16, 2009

MBUNGE ANAPOLISAKATA TWANGA PEPETA!

si ajabu katika hafla mbalimbali kuwaona viongozi wetu wakiserebuka na wanamuziki wetu, lakini utamu wa hii ni kwamba mh mohamed dewji mbunge wa singida mjini (ccm) aliamua kupanda jukwaani kabisa na kwenda sambamba na wanenguaji wa bendi ya twanga pepeta, halafu hebu cheki hilo snepu ni kama braza mzoefu vile? kama vipi wabunge waanzishe bendi yao jamani tupate uhondo.

6 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ha ha ha ha ha! nifurahi kweli kumbe wapo wengi ambao wakisikia mziki hawawezi kuvumilia utazani sisimizi zinawapanda. Safi sana, na na kweli wangeanzisha bendi ya wabunge...LOL!!

John Mwaipopo said...

kitu ambacho mohamed amejaaliwa ni kutoficha hisia zake eti kwa kuwa ni mheshimiwa. hisia zake za mahaba ya muziki na michezo ni za kweli. kumbuka taifa stars iliposhinda moja ya mechi zake alivua shati hadharani.

twenty 4 seven said...

Vijana twasema mzuka wangu ukinipanda hata jukwani ntapanda ndokitu kilichomkuta mbunge wetu,,,usifanye mchezo na utamu wa sebene likinoga..

twenty 4 seven said...

Vijana twasema mzuka wangu ukinipanda hata jukwani ntapanda ndokitu kilichomkuta mbunge wetu,,,usifanye mchezo na utamu wa sebene likinoga..

chib said...

he hee heee, sikuwa najua kama .... ha ha haaa

Albert G.Sengo said...

clap ya handz! nkan-nkan!! safi sana muheshimiwa sidhani kama alikurupuka lazima alikula tiz yakutosha tena sipolepole, si unaona mwenyewe poz la maelewano (stapes) na wenzake stejini YUKO SAWA ananikumbusha hayati Abbas Gullamali.