Thursday, November 19, 2009

TIKISIKA NA DECEMBER YA URODA

ni uroda wa aia yake december hii ndani ya uwanja wa samora, picha hii ni show ya MTIKISIKO mwaka jana na sasa ni tarehe 6 december, na show ina mabadiliko makubwa, so wadau niko bize kidogo na maandalizi hivyo ntakuwa nikija kuwasalimu na kuwapa maendeleo ya uroda wa december, msijali.

3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

viva afrika! safi sana na usiwe unakawia kuja kutusalimu.

chib said...

Haya bwana, kazi ipo mwezi ujao

John Mwaipopo said...

kumbe iringa kuna uroda bwerere