Friday, January 22, 2010

BADO NIPO WAJAMENI!


baaada ya kuwa mafichoni kwa kitambo nimerejea wadauni mkao wa kula mpate kile mlichokimiskwa muda.

7 comments:

Yasinta Ngonyani said...

äntligen! umerudi umemisiwa kweli. Kwanza heri sana kwa mwaka huu 2010 na pia karibu sana. Natumaini umekuwa salama mpaka leo na umekuja na vitu moto moto.

Faith S Hilary said...

duh..karibu tena...hujaonekana toka mwaka jana!!! hehehe

Simon Kitururu said...

Karibu tena Mkuu!

Yasinta Ngonyani said...

Ushapotea tena?

Anonymous said...

namba zako ninazo mwana nitakupigia

Sarp said...

feel ya!!nipe P O BOX YAKO nikutumie barua

peter said...

mambo vipi kaka too cool nichek kwenye face book basi tulonge kuna washkaji wetu kibao(peter Marwa)