Monday, January 25, 2010

PILIKA ZA CAPTAIN ZANGE MTAANI!


kila mchana kuanzia saa saba na nusu mpaka nane kamili siku za wiki mtu mzima ZAMOYONI NGEDE a.k.a "zange the capitain" huwa na pilika pilika nyingi hewani ili kukupa raha ya kusikiliza radio yako bila mbwembwe! anasababisha bonge la pindi linalokwenda kwa jina la PILIKA MTAANI ndani ya 88.5 coutry fm, fanya kama unamcheki halafu tuoneeeee!

4 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Ni vizuri kufanya kila ukipendacho kile moyo wako unapenda.

Anonymous said...

hana lolote

Anonymous said...

kutangaza hajui awaachie wanaoweza jamani,kwanza hapo conutry mnaiga sana vipindi vya wenzenu,yaani vipidi vyote vya hapo upuuzi mtupu,na wewe Agape tumepata taarifa zako umehamia katika hiyo radi daaah kaka umejirudisha nyuma

Anonymous said...

Ndugu kazi zipo nyingi we unafanana na kazi nyingine discover u talent please.....