Friday, March 5, 2010

JB MPIANA KUFA NA KUPONA MWAKA HUU!


pichani anaonekana JB MPIANA katika onyesho maalum aliloliita ST VALENTIN 2010, mpiana yuko jikoni akiandaa album mpya inayokwenda kwa jina la Aller Soyons Serieux
akimaanisha "Let's be serious" yani tuwe makini, nadhani ni baada ya kutofanya vizuri kwa album yake iliyopita huku hasimu wake mkubwa werason akingara na album yake ya techno malewa.

No comments: