Wednesday, March 10, 2010

TSHALA MWANA AWA MBOGO!



malkia wa mutuashi Tshala Mwana amechukizwa vikali na kuondoka ukumbini kwa hasira baada ya tuzo aliyotarajia ya msanii bora wa kike kwa sauti "best female voice award" kutunukiwa barbara kanam, na akasikika akibwabwaja " laiti ningesikiza ushauri wa koffi na wengine,,," sijui ni ushauri gani alipewa na akakaidi, haya tena ndo mambo ya muziki hayo. ikumbukwe album ya KARIBU ya barbara kanam inatesa sana kwa wasanii wa kike wa congo kwa sasa.

2 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Kumbe wapo wengi wenye hasira na wasiopenda kushindwa...Duh!

José Ramón said...

A very interesting blog.

Salamu kutoka kwa ubunifu na ubunifu photos ya Jose Ramon