tarehe 16 may katika uwanja wa state de france jijini paris huko ufaransa moto utawaka wakati kundi la kassav watakaposherehekea miaka 30 tangu kuundwa na mwana wa kinshasa, kipenzi cha mabinti FALLY IPUPA atawasha moto, kijana anazidi kula mashavu ya kutosha na sasa twasubiri album yake ya pili, JE ATAWEZA, majibu utayapata hapahapa katika VIVA AFRIKA.Tuesday, May 5, 2009
FALLY KUKAMUA MIAKA 30 YA KASSAV
tarehe 16 may katika uwanja wa state de france jijini paris huko ufaransa moto utawaka wakati kundi la kassav watakaposherehekea miaka 30 tangu kuundwa na mwana wa kinshasa, kipenzi cha mabinti FALLY IPUPA atawasha moto, kijana anazidi kula mashavu ya kutosha na sasa twasubiri album yake ya pili, JE ATAWEZA, majibu utayapata hapahapa katika VIVA AFRIKA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)


1 comment:
Agape naomba nikupe habaro moja kuhusu huyu jmaa Fallie Ipupa,mimi binafsi nampenda mwanzo mwisho,sasa huku mimi nnapoishi nina bahati ya kusikiliza redio moja maarufu na kubwa sana huko kwao Congo,inaitwa Redio Ngoma Afrika,wao kule wamempa Fallie ufalme wa muziki wa Congo,na ufalme huo wamemvua Koffie Charles Atour Olomode,sasa Fallie wanamuita King Fallie,wapenda muziki Congo wamekubali na wadau wte wmekubali lakini Fallie amekataa ufalme huo akisema anamuheshimu sana Koffie na anamkubali sana na anaamini Koffie ni mzuri na anazidi kuwa mzuri kadri siku zinavyozidi kwenda,habari ndio hiyoooo!!
Post a Comment