Monday, May 11, 2009

BANZA HALI TETE!

Habari za kusikitisha juu ya kuzorota kwa hali ya mwanamuziki nguli kipenzi cha wengi RAMADHANI MASANJA a.k.a BANZA STONE imezidi kutapakaa kutokana na ukweli kuwa mwili wake sasa hauna nguvu tena, miaka miwili iliyopita banza alizidiwa na kulazwa hospitali lakini hali yake ikatengamaa na kurudi jukwaani kabla ya wiki mbili zilizopita hali kubadilika ghafla na sasa yuko hospitali ya mwanayamala akiendelea kupata matibabu, inaaminiwa hali yake inasababishwa na matumizi ya kubwia unga..

No comments: