Wednesday, May 20, 2009

FUNDI MITAMBO, VITUUUUZ!

midadi imempanda dj muba kwa nyuz bin nyuz,
Dj mubba wa ebony fm anaekwangua anga la nyanda za juu kusini kwa pini za ukweli katika THE SPLUSH mzuka umempanda, sio cd na lp tena anataka kugonga ngoma live! kaka unaweza au zuga tu!

5 comments:

Anonymous said...

KAMUA KAMUA KAKA

Anonymous said...

jamaa jeusi hilo du!!

Anonymous said...

mwacheni mwenyewe,mi sijauona huo weusi wake!!au chuki binafsi,hujui tu weusi mali kuliko hiyo mirangi ya kununua dukani.

Anonymous said...

Oyaa,
DJ Muba uchochoroni na gitaa kulikoni??? au ndiooooooo maana na baridi lenu la hapo

Anonymous said...

Kaka unatisha inaonekana ni balaa katika hiyo kitu.