Tuesday, May 19, 2009

WANENGUAJI WA BONGO NA VITAMBI,,,,,,,

kuna mdau mmoja kanifurahisha sana jamani, anasema wanenguaji wa kibongo wana vitambi kwa sababu kwao chai ni sumu, ni mwendo wa bia nyama choma na michemsho, sasa ukijumlisha na hivi vivazi vyao ndo du! jamani mie mwenzenu kuwataja majina naogopa asilimia 80 ni marafiki zangu, kazi kwenu.

No comments: