Tuesday, May 19, 2009

IKO WAPI ATOMIC BAND BRO?

baada ya lady jay dee kuanzisha machozi band, akaja banana zoro na b band, nae abou bakar shaaban katwila a.k.a q chillah akatangaza kianzisha bendi yake aloiita atomic band, tukaona hadi video zake lakini mpaka wa leo bro uko kimya mno, vipi libeneke limekushinda?

1 comment:

koronya Mwambia said...

Si kulikuwa na bendi Atomic miaka ya 70/80's Dar ?
Sijui kama bado wapo. Ona hii video hapa.

http://www.youtube.com/watch?v=y3jUvK_wl0I