mshairi maarufu aliejizolea sifa bambam kwa mbwembwe zake MRISHO MPOTO ameula nchini nchini ufaransa katika mashindano ya world slum championship yatayofanyika mwezi ujao, na kitakachojiri huko kama kawa viva afrika tuko mbele kama tai.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

1 comment:
Nakukubali mjomba,nakukubalu,kula mashavu hayo...
Post a Comment