Tangu kumfahamu hadi leo sijawahi kumwona akiwa amenuna, ni mcheshi kupita kawaida, kiuno chake ndo mtaji wake chazunguka mithili ya pangaboi, mwenyewe hafichi kuwa kama si muziki hajui maisha yangekuaje kwake. anaitwa queen suzzy anenguaji toka FM ACADEMIA ambaye kwa sasa yuko nchini kuala lumpur, malaysia kwa mkataba maalum, nimekumiss kichizi best, rejea salama uendeleze libeneke bi dada.
Monday, May 4, 2009
QUEEN SUZZY BADO WAMO!
Tangu kumfahamu hadi leo sijawahi kumwona akiwa amenuna, ni mcheshi kupita kawaida, kiuno chake ndo mtaji wake chazunguka mithili ya pangaboi, mwenyewe hafichi kuwa kama si muziki hajui maisha yangekuaje kwake. anaitwa queen suzzy anenguaji toka FM ACADEMIA ambaye kwa sasa yuko nchini kuala lumpur, malaysia kwa mkataba maalum, nimekumiss kichizi best, rejea salama uendeleze libeneke bi dada.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

2 comments:
manamke kiuno babu, au vp wanawake wemzangu, mdada mwaenzetu kasema ukweli hapa
Nishai huyu kajitia mkorogo na kuchoma manywele hata hapendezi.
Post a Comment