Tuesday, May 26, 2009

"TECHNO MALEWA" YA WERASSON TAYARI

baada ya kisubiria kwa zaidi ya miezi sita hatimaye album ya werasson "techno malewa" iko tayari, jamaa katua kinshasha juzi akitokea brussels ubelgiji ambako alikua akimalizia upishi wa kazi hiyo, na kwa taarifa yako tayari wasambazaji wanagombania haki za usambazaji wa album hiyo, hivyo jamaa anaweza kuringa atakavyo.

No comments: