Sunday, May 24, 2009

WANNE STAR ATINGA IRINGA

hayawi hayawi sasa imekua, mkali wa ngoma za asili na michezo ya hatari (nyoka) leo jioni ametinga iringa kwa ajili ya kuwanoa warembo wanaowania taji la miss iringa, hapa akipokewa na AGAPE MSUMARI ofisi za EBONY FM.

1 comment:

Anonymous said...

man u look good!
KEEP IT UP BRO

Becky here