
haya wadau kwa mara nyingine tena mahasimu wakubwa wa muziki wa kizazi kipya cha dansi nchini kongo ferre golla na fally ipupa wametangaza kutambulisha album zao mpya mapema mwezi jully, wapekepeke wanatanabaisha kuwa hiyo ni vita baridi ya kutaka kujua nani yuko juu ya mwenzake na jina la album ya ferre ni kama linamchokoza fally, yani « Qui est derrière toi? ». (nani yuko nyuma yako), yani kaaaazi kweli kweli.
No comments:
Post a Comment