Tuesday, June 23, 2009

POLISI WAVUNJA SHOW YA WAZEKWA UJERUMANI

katika kile kinachoonekana ni kupandwa na mzuka wa masebene mtu mzima Felix wazekwa katika onyesho lake la tarehe 13 june mjini cologne huko ujerumani, jamaa aligonga mangwasuma ya kutosha hadi polisi walipoingilia kati asubuhi ya jumapili na kuvunja onesho hilo, vyanzo vya uhakika vinalonga kuwa show hiyo ilikuwa na muitikio mkubwa sana, na alhamisi ya tarehe 25 jamaa na kundi lake la Cultur'A Country Life watatua kinshasa baada ya ziara yao ya mafanikioa makubwa ulaya.

No comments: