ukisikiliza rekodi ya afrikan stars wana twanga pepeta mtu pesa utamsikia huyu jamaa analalamika "mtu na pesa zake yeye pichue ee congo" kiukweli alikua anakonga nyoyo za wengi, kama kawa twanga wakapata safari ya ulaya jamaa akazamia na hajawahi kurudi mpaka leo. wakongo bwana hawaishi vituko.Friday, June 12, 2009
MNAMKUMBUKA HIGE MOYABA?
ukisikiliza rekodi ya afrikan stars wana twanga pepeta mtu pesa utamsikia huyu jamaa analalamika "mtu na pesa zake yeye pichue ee congo" kiukweli alikua anakonga nyoyo za wengi, kama kawa twanga wakapata safari ya ulaya jamaa akazamia na hajawahi kurudi mpaka leo. wakongo bwana hawaishi vituko.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment