
ndugu wawili waliozitosa bendi zao za awali ALAIN MPELA na nduguye BOURO MPELA wamerusha furuhi la shutuma kwa mapromota wa congo kuwa hawakuipa promosheni ya kutosha album yao ya MORTAL COMBAT na ndo sababu ya kutofanya vizuri kwa albam hiyo lakini wapenda burudani wanasema kwamba kufeli kwa ndugu hao ni kwamba jamaa wamechemka na album yao mbaya wala hailingani na hadhi waliyokuwa nayo walipokuwa wenge na quartien latin, jamaa kwa sasa wamejichimbia marekani na wala hawana mpango wa kurudi kinshasa hivi karibuni.

No comments:
Post a Comment