
JEAN BEDEL MPIANA, asherehekea miaka yake 42 kwa raha ya namna yake baada ya mkewe na mama watoto wake AMIDA SHANTI kurejea kinshasa baada ya miaka nane ya kutengana, ni raha iliyoje,
J B MPIANA alizaliwa tarehe 2 june mwaka 1967 , na mpaka sasa ana miaka takriban 25 katika muziki na anafanya vizuri kila siku iitwayo leo! HONGERA JB MPIANA.
No comments:
Post a Comment