mzee fulangenge, Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba Papa Wemba siku ya tar 12 june alitimiza miaka 60 huku akiinjoy kudumu katika tasnia ya muziki kwa zaidi ya miaka 30, utamu wa sauti yake umefanya apewe jina la chiriku wa afrika, na mavazi yake siku zote yanamfanya aonekane kijana. haya wadau nipeni kumbukumbu zenu za papa wemba!Tuesday, June 16, 2009
PAPA WEMBA AGONGA MIAKA 60!
mzee fulangenge, Jules Shungu Wembadio Pene Kikumba Papa Wemba siku ya tar 12 june alitimiza miaka 60 huku akiinjoy kudumu katika tasnia ya muziki kwa zaidi ya miaka 30, utamu wa sauti yake umefanya apewe jina la chiriku wa afrika, na mavazi yake siku zote yanamfanya aonekane kijana. haya wadau nipeni kumbukumbu zenu za papa wemba!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment