
Hakika haiwezekani kumzuia mtoto huyu wa kike asifanye atakalo, ukimsikia radioni hutabanduka kwa sauti yale laini iliyojaa bashasha utadhani hajui shida, sasa kapiga hodi hodi kwenye ulimwengu kublogisha, haya mama kamata bomba twende ........... mtembelee hapa
http://jambobeat.blogspot.com/
2 comments:
Hodi hapa nimepita kukusalimu.
Karibu Dada Bahati. Karibu tupo na kwako twaja.
Asante Kaka Agape kwa kutuonesha njia ya "baraza" jingine. Wacha tukanywe gahwa huko. Lol
Blessings
Post a Comment