Ni ukweli usiofichika kuwa tasnia ya taarab nchini imepata pigo kubwa baada ya kupata taarifa za kifo cha nguli wa muziki huo wa mwambao ambaye alikua ni nguzo thabiti ya muziki huo nchini. NASMA HAMIS "KIDOGO" alifariki usiku wa kuamkia jana katika hospitali ya temeke jijini dar kufuatia maradhi ya malaria.MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU NASMA HAMIS MAHALA PEMA. AMIN

No comments:
Post a Comment