
Hii ni kudhihirisha kuwa habahatishi na sanaa ndo maisha yake, mkali wa muziki mwenye mafanikio makubwa Youssou N’Dour anatambulisha sinema inayogusa maisha yake na ipo katika mtindo wa “musical” na inakwenda kwa jina la “I BRING WHAT I LOVE”
Shughuli hiyo itafanyika NEW YORK CITY tarehe 12 june na milango inafunguliwa saa 12:30 jioni. haya wasanii wa bongo njia ndo hizi za kufuata nyie tutawaona lini???????
No comments:
Post a Comment