kuna uvumi kuwa msanii anayekuja kwa kasi congo barbara kanam amekula tunda na fally ipupa wakati wakiwa studio kwa kazi zao za kisanii, lakini wawili hao wamekanusha vikali uvumi huo na kuruka kimanga huku barbara akisema "ni kweli fally ni rafiki yangu mkubwa na tumepata muda mzuri sana studio ila hakuna kilichoendelea" ila kama kawa penye wengi hapakosi mambo,watundu wa umbea wanadai kwa ukicheche wa fally hawezi kukaa na mrembokama barbara bila kummega! haya tena FALLY wa warembo huyo......

hapa anaonekana akiimba kwa hisia na mrembo ambaye ni shabiki wa muziki wake.
No comments:
Post a Comment