Monday, July 6, 2009

MIE MGENI NAOMBA MSAADA WADAU!

ati mwanamke kiuno, ama mwanamke nyonga, mie mgeni naomba jibu wadau.............??????

1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

That makes two of us. Kumbe nawe swali hili uko nalo? Hahahahahahaa. Lakini kwangu MWANAMKE TABIA (kwa ujumla wake na kama ilivyo kwa mwanamume) ila kwa mnenguaji (ambaye anakuwa kazini kwa hiyo tuseme mfanyakazi ya unenguaji) hapo nina utata kama cha kujali ni muonekano, tabia, mauno ama nyonga.
Tusubiri "wenyeji" watuoneshe mji