Tuesday, July 21, 2009

MAMBO YA FWEZA!

mdau wa muziki bongo pedeshee ndama, a.k.a jean pierre akayesu(mwenye suti) akimtunza minoti fally ipupa alipofanya ziara mwaka jana hapa hom

3 comments:

Mzee wa Changamoto said...

Kaka upo?
Twakuombea salama.

Yasinta Ngonyani said...

Ni kweli maana umepotea kwelikweli Upo wapi? au ni hivi uwe unaaga siku nyingine ili tusiwe na wasiwasi.

Anonymous said...

jamani mbona kimya si ufunge basi hii blog? Nyie Ebony mbona mnaboa?