Haikuwa rahisi hata kidogo kuwa mbali na desk langu la kazi kwa kitambo japo nilikua kazini nje ya kituo cha kazi, najisikia furaha na raha kurejea jamvini na kuungana na wadau kwa mara nyigine tena! haya sasa libeneke lianze rasmi.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

3 comments:
Haya baba karibu kazini mungu akupe nguvu usije ishia njiani mpnz maana kazi ya kublogua sio rahisi kiivyo.
Nakutakia afya njema na aru ya kutupa raha kutoka pande hizo za Iringa
Karibu tena Kaka.
PamoJAH daima
ULIKUWA WAPI WEE MTOTO??/
Post a Comment