Monday, September 14, 2009

BURIANI MEDDY MPAKANJIA


mdau mkubwa wa muziki wa nyumbani Mohamed Mpakanjia amefariki dunia leo alasiri katika hospitali ya lugalo, taarifa zinasema kuwa meddy alilazwa hospitalini hapo akisumbuliwa na maradhi ya neumonia. mungu ailaze roho ya marehemu mahala pema peponi AMIN!



3 comments:

Yasinta Ngonyani said...

Mungu alitoa Mungu amechukua. Pumzika kwa amani.

Albert G.Sengo said...

Mara zote ndugu mmoja ktk familia au umoja anapofariki dunia rafiki wanao saliahubaki na huzuni, masikitiko na simanzi kubwa. Of coz kuna mengi huwa yanazungumzwa yakihusu marehemu iwe alifariki kwa kuugua muda mrefu au kifo cha ghafla. Yote tisa swali kuu ni kipi kinachitokea mara baada ya mtu kufa? ndugu waliotutangulia wanakwenda wapi? wanakutana nanini? Inaogopesha. UKISIKIA MWENZIO KATANGULIA KULA KIMYA.

Anonymous said...

pole kwa ndugu jamaa na marafiki wa familia ya mpakanjia tulimpenda ili mungu kampenda zaidi