Tuesday, September 15, 2009

JULIANA KANYOMOZI KUACHA MUZIKI...????

msanii wa kike diva Juliana Kanyomozi yu mbioni kubadili uraia na sasa anataka kupata uraia wa Canada na kama itakua hivyo huenda akahamia nchini humo na watoto wake.
pia kuna taarifa kuwa Juliana anafikiria kuacha muziki kati ya mwaka huu na mwaka ujao lakini hilo linategemea upatikanaji wa makaratasi yake ya Canada.

No comments: