
malkia wa muziki afrika Yvonne Chaka Chaka ambaye pia ni balozi wa mpango wa umoja wa mataifa wa "roll back malaria" yuko jijini new york marekani kwa ajili kuwataka viongozi wa dunia kuongeza nguvu katika mapambano yao dhidi ya ugonjwa huo.
Chaka Chaka ana jeraha kwani amepoteza mwanamuziki wake mmoja kwa malaria,
1 comment:
MWANAMAMA HUYU NIMFANO WA KUIGWA NA WATU WENYE NAFASI YA KUSIKILIZWA KATIKA JAMII ANACHOKIFANYA NKITU CHA MSINGI NAKUMBUKA ALISHAWAI KUJA TANZANIA KATIKA SIKU YA MARALIA DUNIANI NAKUJIONEA WAGONJWA WQA MARALIA WALIOPO TANZANIA ALIDONDOSHA MACHOZI JINSI MARALIA INAVYO TUSUMBUA WATANZANIA
Post a Comment