
hakuna mzaha kwa dansa huyu matata ambaye anakiri kuwa bila kiuno chake hajui angekua wapi, hupenda kusema "kiuno mtaji kambi popote"

dansa mwenye vituko mbwembwe na manjonjo awapo kazini na hata katika maisha ya kawaida "queen suzzy" wa fm academia hapa akipagawisha kwa style ya "kisanola" neno hilo lamaanisha chana nywele.
3 comments:
Kaaziii kwelikweliii:-)
Mpuuzi tu huyu hana lolote ila umalaya.
binti anaweza kiukweli utazani mkongo hiyo staily noma
Post a Comment