Friday, September 11, 2009

MASOUD KIPANYA

masoud kipanya mchora katuni, mtangazaji, na mjasiriamali ambaye hakika kila uchao anaibuka na jipya, sasa yupo katika mchakato wa msimu wa pili wa maisha plus, msikilizie katika runinga ya tbc1, toka kwake kuja kwenu ni ijumaa njema.

No comments: