Monday, September 7, 2009

KUTI FELLA MWANAMUZIKI BORA ZAIDI!

jarida la CANOE Quarterly katika toleo lake la september limemtunuku mkongwe mwenye historia iliyojaa vituko FELLA ANIKULAPO KUTI, katika tuzo walizoziita G.O.A.T { greatest of all time} katika list hiyo pia wapo marehem miriam makeba "mama afrika" , youssou N'dour, salif keita na kundi la hip hop la sauzi jozi.

1 comment:

Yasinta Ngonyani said...

Mmmmh kumbe mimi bado mtoto mdogo:-) sijawahi kumsikia mwanamuziki huyu. Ahsante kwa ujuzaji.