baada ya ule mkasa wa kunyimwa visa ya marekani, msanii jose chameleone akisaidiana na mdogo wake AK47 yupo katika bonge la ziara barani ulaya. ziara hiyo inatarajiwa kuanza tarehe 26 sept jijini Amsterdam ,Copenhagen tarehe 20 sept na kuishia nchini ujerumani tarehe 03 october, na waandaaji wanafanya mipango ili jamaa ambaye ndiye anayetajwa kuwa msanii ghali zaidi afrika mashariki afanye onjesho jijini Stockholm.
Monday, September 14, 2009
KWA WALIO UGHAIBUNI CHAMELEONE HUYOO!
baada ya ule mkasa wa kunyimwa visa ya marekani, msanii jose chameleone akisaidiana na mdogo wake AK47 yupo katika bonge la ziara barani ulaya. ziara hiyo inatarajiwa kuanza tarehe 26 sept jijini Amsterdam ,Copenhagen tarehe 20 sept na kuishia nchini ujerumani tarehe 03 october, na waandaaji wanafanya mipango ili jamaa ambaye ndiye anayetajwa kuwa msanii ghali zaidi afrika mashariki afanye onjesho jijini Stockholm.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

2 comments:
Wow! habari nzuri sana! Stockhol pia ,,,,,LOL. Hivi unajua sasa hivi tu nilikuwa namsikiliza na wimbo wake wa mama Rhoda.
ujue tangu wamekuja juu uganda wizzzo na radio camilion kafunikwa nahisi jamaa anatakiwa kijipanga wadogo zake watamfunika////////////////
Post a Comment