
rafiki yangu Asia yom Barnabas shabiki mkubwa wa washika bunduki wa emirates lakini kwa sababu ambazo hajaziweka bayana miaka miwili na nusu sasa ni anashabikia "bwawa la maini" liverpool, mmh kuna jambo hapa nadhani, anyways anawatakia ijumaa njema wana viva wote.
1 comment:
Gape wajua fika hilo bwawa la maini mie limenifikisha wapi!!!!!
Baby Luv
Post a Comment