
msimu wa pili wa kipindi cha maisha plus umeanza rasmi na vijana lukuki wanajitokeza kuwania burungutu la shilingi milioni 15 na jumapili iliyopita tarehe 30 august ilikua ni zamu ya vijana wa iringa. pichani ni majaji wa maisha plus Ally masoud kipanya, Baby madaha, na francis Bonda wakiwasaili vijana wa iringa.
No comments:
Post a Comment